Psalms 147:19-20


19 aAmemfunulia Yakobo neno lake,
sheria zake na maagizo yake kwa Israeli.
20 bHajafanya hivyo kwa taifa lingine lolote,
hawazijui sheria zake.

Msifuni Bwana.
Copyright information for SwhNEN